Toa ushauri tu
Unajua hata sisi tungekuwa viongozi hatuwezi kukubari kukosolewa kwa kutukanwa ,kudharirishwa turejee ktk familia zetu hazina hata watu kumi!!!
Mfn Mke au mtoto akaoa maneno machafu
Toa ushauri tu
Unajua hata sisi tungekuwa viongozi hatuwezi kukubari kukosolewa kwa kutukanwa ,kudharirishwa turejee ktk familia zetu hazina hata watu kumi!!!
Mfn Mke au mtoto akaoa maneno machafu
ofisi ya umma sio familia! sisi sio wajomba na ndugu zake sisi ni wananchi, kama hawezi kuvumilia ukosoaji wenye maneno makali basi ni wazi kuwa bado hajakomaa na hatoshi kushika hiyo ofisi, arudi nyumbani akaabudiwe na familia yake.
Mbona yeye anadhalilisha watanzania wenzake kila siku na haombi msamaha, kwanza ndio anajisifia. Mfano " Sinilikutukana kwenye simu pumbavu? Au unabisha?" Ikiwa mnayemtetea yeye anafanya hayo hayo, sielewi hao wengine nani anawatetea kwa kumwambia yeye kwamba nasi tunakereka na matusi yake?!