Huwez ficha kwa staili hiyo,utawafichia wasiojua!kiufupi kama mtu ameficha kitu na unataka ukione fanya hivi
-tambua aina ya files unazozitafuta kama ni music,videos,pics n.k
-nenda kwny start button na search kwa ku2mia extention!
Mfano unatafuta nyimbo,file extention yake mara nyingi ni mp3 so type .mp3
hapo utapata nyimbo zote zilizopo!
.Mlv~videos files
.pdf~texts files n.k
Hafichi mtuuuuu!