Namlilia Ekwueme

Huu wimbo ulipigwa kwenye msiba wa baba yangu hivyo unanikumbusha huzuni.
 
Sadly nilikuwa naufahamu wimbo lakini mwimbaji sikuwahi kumfahamu mpaka umauti ulipomfika.
 
Sio your the....ni You are the living GOD....Eze no one like you.....mimi mwenyewe wimbo huu ulinigusa sana...yaani sichoki kuusikiliza....
Halafu EKWUEME hafi ...ila aliyeimba wimbo huu ndio kafa(Osinachi)...
Kwa sasa una viewers zaidi ya 98 million.....kwa kweli ukimkuta mnigeria mwenye hofu ya Mungu huwa ana hofu haswaa
 
Huu wimbo ulipigwa kwenye msiba wa baba yangu hivyo unanikumbusha huzuni.
Pole kwa kukumbushwa machungu ya msiba, huu wimbo umekuwa ukipigwa kila mara kwenye misiba na unahuzunisha sana.
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…