Naona weye wangojea sana kuambiwa. Hapana, fanya juu chini umwone mwenyewe. Ka mlimalizana kwa ukuda, weye shuka mpe moyo wako, ka weye ndo ulilianzisha, nunua bunda la rose mkabidhi na ka memo kuwa "Am sorry" mambo ndo yaendavyo. Hakuna ugomvi usio na mapatano. Mkumbushe ya zamani