1. Ali-maintain inflation tangu aingie Ikulu mpaka anatoka,
2. Aliwezesha nchi kujenga barabara kwa fedha za ndani,
3. Makusanyo ya kodi yalipanda kwa kasi sana,
4. Heshima ya Serikali ilirudi,
5. Alitujengea uwanja mpya wa soka,
6. Alijenga daraja la Mkapa lililoshindikana tangu uhuru,
7. Alianzisha mpango wa MMEM na MMES ili kuinua Elimu ya Msingi na Sekondari,
8. Alianza kujenga Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),
9. Alikuwa ni mtu wa msimamo,
10. Nk.
Alifuta kodi ya kichwa. Wakati anaingia madarakani alikuta nchi ipo katika hali mbaya, wananchi wanalipia hadi baiskeli. Listi ya kulipia kodi ilikuwa ni lazima utembee nayo utafikiri unatembea na kitambulisho cha taifa. Mkapa is a hero, alirahisisha sana maisha ya watanzania.Ukitrace mwalimu alikuwa okey lafu tukadorola alpokuja mwinyi then tukapanda enzi za mkapa sasa kaja uyu ndugu yetu kila kitu FYONGO
Ila trend analysis inaonesha atakaekuja atakuwa okey pia ivyo tuwe wavumilivu!
Alifuta kodi ya kichwa. Wakati anaingia madarakani alikuta nchi ipo katika hali mbaya, wananchi wanalipia hadi baiskeli. Listi ya kulipia kodi ilikuwa ni lazima utembee nayo utafikiri unatembea na kitambulisho cha taifa. Mkapa is a hero, alirahisisha sana maisha ya watanzania.
Tuombe Mungu atakayekuja awe Mkristo, labda atairudisha nchi kwenye hadhi yake. Wakichukua tena waislamu, hapo lazima tupige nchi mnada. Maana kwa takwimu jinsi zilivyo ni kwamba kila nchi inapokuwa mikononi mwa Mwislamu mambo yanakwenda hovyo sana.
Hivi ujenzi wa UDOM ulikuwemo kwenye ilani ya CCM? Au ilikuwa mojawapo ya kauli mbiu za maisha bora kwa kila Mtanzania? Just asking!mkapa hakujenga UDOM
weka facts zako vizuri....
ndo maana chadema ilani yao ya 2005 walisema dodoma iwe kitivo cha elimu
na chamwino iwe chuo kikuu
kikwete alipofanikisha hilo wakasema kawaaibia ilani yao...