nasisitiza tena na tena usithubutu.. too much wivu ktk mapenzi haufai kabsaaa unakukosesha hata amani yani kila utakachofanya atahis unamcheat... mimi kuna siku nlienda kununua ndizi za kuchoma na kitimoto( sory kama we ni muislam) bar akapiga simu kulikua na mziki mkubwaa + makelele ya walevi weeeh hapakutosha asee ilikua vurumai et..ila mi nachomkumbukia ni mipesa yake tu...
bado nakumendea. ntakupata tu....
endelea kunimendea tuuu........na unavyojipa mahope utajuteje......
Sio lazima uajiriwe but ujiajiri au usijiajiri kote kunahitaji smartness!Kwel akl yako haijafunguka.co lazma uajriwe
Weeeeeee!!! Anapga pump wewe una act.
N kwel but kpya knyem nokia 83
H ha ha ha haaapanaaa buana.mambo mazur hata huku nlkopata sko kubaya.tena huku mmbo swafiiiiii
mweeeehAhsante kwa taarifa.
Kingine tena?