mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
Ulisema " mungu alimlaani"Hebu soma vizuri maelezo yako halafu linganisha vizuri na maelezo yangu
Unamaanisha kifo chake kilitokana na laana.
Ulisema " mungu alimlaani"Hebu soma vizuri maelezo yako halafu linganisha vizuri na maelezo yangu
Yeye aliyekuwa mzima kabisa na yule waziri wakamdharau mgonjwa kwa kumwita maiti inayosubiri kuzikwa, na wote wawili hawakuchukua mwezi wakawa wamekufa kwa ajali na presha, yule waziri wakajaribu kumkimbiza India lakini wapi Mungu alikuwa amechukizwa sanaUlisema " mungu alimlaani"
Unamaanisha kifo chake kilitokana na laana.
Hii ndio dhana ninayokuomba uondokane nayo. Hawa watu siku zao zilifika.Yeye aliyekuwa mzima kabisa na yule waziri wakamdharau mgonjwa kwa kumwita maiti inayosubiri kuzikwa, na wote wawili hawakuchukua mwezi wakawa wamekufa kwa ajali na presha, yule waziri wakajaribu kumkimbiza India lakini wapi Mungu alikuwa amechukizwa sana
Sasa dalili za kuonyesha siku zao zilikuwa zimefika ndiyo hizo, kujiona wewe hufi ila wenzako wagonjwa ndiyo watakufa refer wimbo unaopigwa na TBC kwenye kipindi cha wagonjwaHii ndio dhana ninayokuomba uondokane nayo. Hawa watu siku zao zilifika.
Mifano ipo mingi......
Ndio huyo hapo juu[emoji11] [emoji10] [emoji9]Kuna Mama mmoja Mbunge wa CCM alimkubali simkumbuki vizuri,
Kwa hiyo dunia hii kila anayekashifu wagonjwa kesho yake hufa?Sasa dalili za kuonyesha siku zao zilikuwa zimefika ndiyo hizo, kujiona wewe hufi ila wenzako wagonjwa ndiyo watakufa refer wimbo unaopigwa na TBC kwenye kipindi cha wagonjwa
Wewe unatafuta kaubishi fulani na mimi, aisee tafuta mtu mwingine wa kubishana nayeKwa hiyo dunia hii kila anayekashifu wagonjwa kesho yake hufa?
BTW hadi leo hii makundi ya watu wanamkashifu EL kuhusu afya na still wapo hai (japo wanapata dhambi kwa kufanya hivyo na wataadhibiwa)
Was not argued with u....rather than giving fact.... And thats reality.Wewe unatafuta kaubishi fulani na mimi, aisee tafuta mtu mwingine wa kubishana naye
Rudi usome historia ya mtu huyu ndiyo utamjua vizuri. Mimi nilikuwa namfahamu kijuu lakini niliposikia wasifu wake wakati anaagwa Kareemjee Hall nilibaki mdomo wazi! Hata Mh Rais was kipindi hicho alikuwepo!! Tusiione hii TZ yetu kuna watu wana historia nayo, Mch. Mtikila ni mmojawapo!! Kuna makabila ni madogo kama ilivyo wapangwa! Lakini hivyo vichwa ulivyovitaja, kila mtu anajua mziki wake!!Mtikila alikuwa chizi tuu kama wapangwa wenzake wakina Deo.Hakuwa na lolote zaidi ya kuwa pesmistic tuuu.Alipoibuka mwanzon mwa tisini alibebwa na upepo wa mageuzi lkn hakuna landmark yoyote aliyoiacha zaidi ya undumilakuwili na unafiki,mwisho wa siku akajitabiria kifo kwa kumtumia mzee lowasa.Ni afadhari huyu mdudu aliondoka wakati alioondoka.
Was not argude au was argued,was nit argued with you,any way lugha ya malkia hiiiWas not argued with u....rather than giving fact.... And thats reality.
Hakuna cha mziki wala nini,Mtikila alikuwa msumbufu tuuundo maana aliishia kufungwa na kupigwa mawe kule Tarime.Anachukua hela leo kwa Rostam Aziz kesho yake anawaponda kanisa la Lutheran kinondoni kwa kupewa hela na Rostam eti ni pesa za ufisadi.Hicho ndo kichwa chenye historia na Tanzania? Mambo mengi ya kusoma kama cv ya marehemu huwa ni ya kupika na usanii tuuu.Mchungaji wa kanisa lisilo na address si atakuwa mchungaji popo? Mtikila alikuwa chizi tuualitoka na fungu la nyanya makambako ndo alipopata ajali na kuaga dunia,gari yenyewe eti GX 100 ya kukodi,ni uchizi mtupu.Rudi usome historia ya mtu huyu ndiyo utamjua vizuri. Mimi nilikuwa namfahamu kijuu lakini niliposikia wasifu wake wakati anaagwa Kareemjee Hall nilibaki mdomo wazi! Hata Mh Rais was kipindi hicho alikuwepo!! Tusiione hii TZ yetu kuna watu wana historia nayo, Mch. Mtikila ni mmojawapo!! Kuna makabila ni madogo kama ilivyo wapangwa! Lakini hivyo vichwa ulivyovitaja, kila mtu anajua mziki wake!!