Wambura Mtani ana kipindi chake kinaitwa Lugha Gongana kinazungumzia mila za makabila mbalimbali ya Tanzania kiko vizuri sana.Mazoea tu mkuu ,kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Yes pia Je huu ni Uungwana? Kila Jumapili saa 9:30A.M - 10:00 A.MWambura Mtani ana kipindi chake kinaitwa Lugha Gongana kinazungumzia mila za makabila mbalimbali ya Tanzania kiko vizuri sana.
Wambura Mtani na Rebecca Mulesi wanastahili heshima kubwa.Mazoea tu mkuu, kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Wambura Mtani na Rebecca Mulesi wanastahili heshima kubwa.
Wameipigania sana Radio hiyo. Licha ya matatizo yote. Long time in a game.
Mkuu ile sauti ya Rebecca hatari,nipe picha yake hata nimuone tuMazoea tu mkuu, kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Ni huyo dada mkuu.Mkuu ile sauti ya Rebecca hatari,nipe picha yake hata nimuone tu
Nashukuru mkuu,ila hilo pozi mmmh😂😂Ni huyo dada mkuu.View attachment 1633491
Hahahaaaa Nimepekua VAR yangu imekamata tukio hilo Mkuu.Nimemsikia mtangazaji muwakilishi wa RFA Tabora kwenye kipindi cha matukio leo asubuhi amesema "...askari wamekamata computer moja ikiwa na keyboard pamoja na CPU yake"
Hahahaaaa Nimepekua VAR yangu imekamata tukio hilo Mkuu.
Hahahaaaa Nimepekua VAR yangu imekamata tukio hilo Mkuu.
Hahahaaaaa Mkuu kazi yangu ni ya kuuza mkaa MINJINGU hivyo 24/7 huwa nasikiliza radio.Upo vizuri sana kiongozi
Nimekuvulia kofia!!!🤣😂
Haaahaaaa ngoja nipekue VAR yangu niweke Audio Clip ya ilo tukio....Babu naye amezingua.Babu wa miaka 67 atuhumiwa kumpa mimba mjukuu wake wa miaka 13
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mzee wa miaka 67 kwa tuhuma za unyanyasi wa kijinsia na kusababisha ujauzito kwa mtoto wa miaka 13 ambaye ni mjukuu wake. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, ACP Barnabas Mwakalukwa alisema Novemba 13, mwaka...www.jamiiforums.com