Namkubali sana mtangazaji Denis Mwasalanga wa RFA

prof Mose

Member
May 10, 2019
37
28
Habari wanajamvi wa JamiiForums. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiutumia kusikiliza RFA hususani kuanzia ile saa 12:00 asbh Hadi 1:00 asubuhi, lengo likuwa ni kusikiliza kipindi cha BBC na magazeti hiyo asbh kabla sijaingia job.

Lakini huwa naenjoy sana siku za weekend ambapo huyu mtangazaji Denis Mwasalanga husoma magazeti. Ana something special compared to others hasa kuchombeza maneno fulani na kuongoza mjadala.

Nafikiri ana deserve kuwa kwenye media inayojielewa due to his creativity na sio RFA ambayo kwasasa imechoka kweli.

Huu ni mtazamo wangu
 
Mazoea tu mkuu, kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
 
Mazoea tu mkuu ,kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Wambura Mtani ana kipindi chake kinaitwa Lugha Gongana kinazungumzia mila za makabila mbalimbali ya Tanzania kiko vizuri sana.
 
Yes pia Je huu ni Uungwana? Kila Jumapili saa 9:30A.M - 10:00 A.M

Sahara ina Majembe Mengi sana.

Sadick Kiunga.
Abadallah Tilata.
Nassoro Dimoso.
 
Mazoea tu mkuu, kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Wambura Mtani na Rebecca Mulesi wanastahili heshima kubwa.
Wameipigania sana Radio hiyo. Licha ya matatizo yote. Long time in a game.
 
Kweli kabisa Watangazaji wapo Royal hawajayumba na wamepitia kwenye changamoto nyingi sana mpaka leo bado wapo!!
 
Mazoea tu mkuu, kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Mi nasikilizaga asubuhi tu mkuu
 
Nimemsikia mtangazaji muwakilishi wa RFA Tabora kwenye kipindi cha matukio leo asubuhi amesema "...askari wamekamata computer moja ikiwa na keyboard pamoja na CPU yake"
 
Mazoea tu mkuu, kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Mkuu ile sauti ya Rebecca hatari,nipe picha yake hata nimuone tu
 
Ni huyo dada mkuu.
EkEJjjIWoAAjl0D.jpg
 
Nimemsikia mtangazaji muwakilishi wa RFA Tabora kwenye kipindi cha matukio leo asubuhi amesema "...askari wamekamata computer moja ikiwa na keyboard pamoja na CPU yake"
Hahahaaaa Nimepekua VAR yangu imekamata tukio hilo Mkuu.
 
Attachments

  • VAR-COMPUTER.mp3
    370.4 KB
Mmenikumbusha mtu mmoja anaitwa SAMADOU HASSAN kwa Sasa ni marehemu mungu aendelee kumlaza sehemu salama.Tangia nimeanza kusikiliza taarifa huyu jamaa ni mwanahabar niliyemkubali sana, Kuna zile habari za kimataifa za star tv pamoja na jarida maridhawa aisee alinikosha Sana mpka nikatamani ningekuwa mwanahabari....
 
Haaahaaaa ngoja nipekue VAR yangu niweke Audio Clip ya ilo tukio....Babu naye amezingua.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom