kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,666
huo mstari wa kwanza wa stereo utamhukumu popote aendapo
sahivi anasema "Nawaimbia watoto wazuri"
huo mstari wa kwanza wa stereo utamhukumu popote aendapo
sahivi anasema "Nawaimbia watoto wazuri"
huo mstari wa kwanza wa stereo utamhukumu popote aendapo
sterio anajiona ni mwandishi mzuri na nikweli ana uandishi mzuri lakini sidhani kama atafiti huko alipo. Hata suma mnazareti alienda lakini leo yukwapi
mkuu umenifanya nikumbuke ile pini 'Nakupenda Hip Hip' by Roho 7
Kauli ya Madee (Hip Hop Haiuzi) imewapotosha sana maemc wetu wa hip-hop. Ila naamini kuna maEmc hawatakuja kubadilika kamwe... mtu kama Nash Mc nategemea kuendela kumsikia ktk hip hop mpaka mwisho wa maisha
hata uno hawezi badilika kamwe coz alishawishiwa na watu akakataa ndo mana alizinguana hata na clouds
mkuu, 'Nakupenda Hip Hop' imesimama sana iyo pini. Roho 7 anaweza, sema basi tu nae jeshi ishambana
so harakat bora ziendelee hapa kwan mc tunawapoteza kama jembe bila mpini chek mtu kama mox wap tena kichwa changu adili wap au ndo peke yangu t vip watengwa wap nako t nako jaman umoja ni nguvu tupeane saport
Kuna Kipindi alikuwa anakiendesha Stivie Kabuye Alias Kafaya kinaitwa SUPATRAXX Star TV kilikuwa ni qwere yani jamaa alikuwa anapiga mahiphop ya kufa mtu halfu Background Beat yake ilikuwa mtu mzima Common ft Last poets-The Corner yani ilikuwa ni Shigggdaaaa!