Namfagilia sana Joyce Mwakalinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namfagilia sana Joyce Mwakalinga

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Tuko, Mar 19, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ni jambo jema kumpongeza na kumpa moyo mtu anayefanya kazi nzuri. Kati ya watangazaji wa kipindi cha magazeti star tv na rfa, huyu dada watu wengi wanamkubali. Habagui hbr na anajua ni hbr zipi zenye mvuto kwa wasikilizaji na huzima kwa msisitizo. Ni tofauti sana na mwenzie Tom Chilala ambaye akiwa msoma magazeti siku hiyo watu wengi hawasikilizi kwani anaboa.
   
 2. O

  Omumura JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  waandishi wengi katika media tofauti wamenunuliwa na magamba,hapo star tv ukiondoa huyo dada wengine wote kina faraji magoa na yule dada asiejua kiswahili ambaye kila mstari anakujuza wote hovyo tu. TBCCM nao ndo kabisa hawasomi hata gazeti la mwanachi. Ukiacha chanel ten,media nyingine zote hawasomi magazeti vizuri.
   
 3. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hata mimi namfagilia sana .....
   
 4. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  anaitwa Joyce Mwakalinga?? sio dadako mkuu umemuanzishia uzi kumfagilia kwa id tofauti???????????
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaaaaa JF haiboi.
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe ndiye Mr, au ndugu yake au majina tu kufanana?
   
 7. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ni ndugu yangu kamanda ...bado hajaolewa leta posa fasta fasta ,ila sisi hatupokei ng'ombe ni fedha tu
   
 8. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kweli wewe mwana mpotevu...Sijamwanzishia Thread kamanda.Nimeuona uzi nikaona nami nimrushe ma sister,ama hupendi !
   
Loading...