Mwancheni mwaya, hata mimi namfagilia maana anamiliki gari aina ya X5 alilopewa na mafisadi kwa sababu ya ku-facilitate kuingiza vi mem:hungry😱 vyao mezani kwa mkulu.
LOL!...we una matatizo, if this's the case then am on the top cause I own the M class.
Halafu nyie wana J F word, siku ntawachapa bakora, yani ktk picha zote za mheshimiwa mbunge wa bumbuli hii ndo mmeona ya kuweka!, who knows may be that's the day he won the election and was celebrating with his constituents at the local pub in Bumbuli with those wadadas who seem to be local bumbulis!