Maliza tu kucheka, maana umenifanya na mie nicheke. mweee!!
Sijui kwanini nimekumisi namna hii?? Umeanza uchawi??
Hata mie nakupenda sana babu yangu Asprin
Kwanini unampenda babu yako kabla hujamwambia bibi?? naomba uwe ni upendo wa agape tu.
Hao unafuga tu, kakijiona kamekua kanaanza kubweka unakatimua kakawe ka mbwa koko kama sio paka shume kakapambane mtaani na wa aina yake.
Maisha yenyewe mafupi ya nini kujiua na mawazo?
Kwanini unampenda babu yako kabla hujamwambia bibi?? naomba uwe ni upendo wa agape tu.
Bibi ninao wengi ila mie ninaemtambua ni mmoja.Kwani na wewe ni bibi?
"not single but romantically challenged"
Wakati ulipovunja ile ndoa yangu ulidhani sitopata mtu??????? babu yako kaniona roho ikamtoka.
Babu yako kakiona chombo hapa kafa kaoza, huduma zote mimi ndio natoa ruhusa hata kwa bibi yako kijijini.
Kwanza siku hizi bora ufuge nyau atakusaidia kukamata panya stoo kuliko binadamu uambulie fedheha na matusi lol.
My mzima wewe??? siku nyingi sijakutia machoni au ushabanwa na mario wa kimasai lafudhi yakipemba???????
If this is a big brain basi def ya small brain haipo.Still yet single bkoz I have not yet meet a woman who can challenge me in life....! Many of them ni small brain..
I love the slogan, but I doubt it's just mear words.
Kama ladies wote wangeweza kuishi slogan hii, i bet sayari Tanzania would have been a better place to live as far as relation is concerned.
Be Independent,Workhard and do the keeping yourself, let it be a challenge to all ladies in the house.It has to start with mindset and attitude the rest will follow.