Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Unamaanisha nini?? Hebu twende PM tukawekane sawa kwanza. Hiki kibaridi hakikubaliki.
LOh!! umerudi kutoka michepukoni mume wa ujana wangu. haya karibu tena mimi malkia nalikuwa nakusubiri siku zote.
kukosa uvumilivu na subira kwa wavulana ndo kumechangia niwe cngle.
now nko radhi hata miaka kumi nimsubiri mwanaume atokee co mvulana..!
Apologise Lady I want to be kept will you mind doing the keeping?
Maisha ya single magumu sana
Apologise Lady I want to be kept will you mind doing the keeping?
Sithubutu kuchepuka. Wewe ndie barafu ya moyo wangu.
Ndo wanaume hawa....
ooooh!!! No my dia, i only kept animal not human being.
Mimi ndio mama lao, hata ukichepuka lakini hapa ni mtakuja.
hebu mlee mtoto wa watu huyo maana umejinadi mwenyewe hauhitaji msaada ila unajisaidia mwenyewe sasa msaidie huyo kijana roho yake ipone ha! Ha!
Kwanza siku hizi bora ufuge nyau atakusaidia kukamata panya stoo kuliko binadamu uambulie fedheha na matusi lol.
My mzima wewe??? siku nyingi sijakutia machoni au ushabanwa na mario wa kimasai lafudhi yakipemba???????
Limbwata lishaisha? Kama vipi nilete jingine uniwekee. Nataka nikupende wewe pekee.
Hahahaaa
umenchekesha na Wamasai wa zenji.
Ngoja nimalize kucheka.
Nimeenda kwa mtaalamu kanionyesha kote ulikochepuka, kasema nimpe mil 10 akutulize ndio nilikuwa nakusubiri unipe nikakutengeze vizuri, maana naona sasa hivi utulivu F, hadi hii mimba niliyonayo inatishia kutoka kwa matendo yako, fanya kunipa hiyo hela nikampe mganga wangu ili roho initulie mie.