Namchukulia kama chombo cha starehe tu

Siku yakikufika ndo utajua kama sasa unafanya vibaya au la! Bahati nzuri,Malipo ni hapa hapa duniani,akhera ni kuhesabiwa tu.
 
Shyeeeh...!!! unakosea sana, bora hata umfanye tu basi la mwendo kasi.
 
Tang'ana,piga chini huyo hata kwa ngumi, si vyema kumtreat hivyo. Mzulie lolote tu
 
Hii yote inatokana na ye kuwa king'ang'aniz kwangu,nimemuumiza vya kutosha ila ye hatak kunielewa,mwishowe nimeamua kumchukulia kama chombo cha starehe 2.cjui ka nakosea wakuu?
......Ndo mana umetimuliwa UDOM.....kilaza wewe......JPM hakukosea!
 
Naona unamtafutia ushauri mdogo wako alogeuzwa chombo cha starehe. Mwambie avumilie anapimwa!
 
Kwan Huo mda Wa kusex anakulazimisha????

Hivi unaanzaje kusex na mwanamke usiempenda??? Eti anakulazimisha au anakung'ang'aniza.....

Kuna mambo mawili kwako

1. Wewe ni mzembe kwa kukosa msimamo. Mwanaume huwez lazimishwa na mwanamke. Huo ni uzembe.

2. Unahitaji wewe to have sex with her....so wote mnageuzana vyombo vya starehe....huwez kutokumhitaji kwa sex alafu uka doo nae....tena sio Mara moja.

3. Hujitambui I mean bado Mvulana.....naaweza kukuweka kundi moja na captaintanzania
 
Kumbe wewe ni paul eeeeh
 
safi saaana
 
Hii yote inatokana na ye kuwa king'ang'aniz kwangu,nimemuumiza vya kutosha ila ye hatak kunielewa,mwishowe nimeamua kumchukulia kama chombo cha starehe 2.cjui ka nakosea wakuu?

Aisee wewe ni mwehu...yaani mtu unafanya uonevu kwa mwanadamu halafu unakua proud kabisa wala huoneshi remorse kabisa...

Dude utakua below 18 hivi,unafeli sana
 
Ambacho huelewi ni kwamba that woman really loves you,ipo siku atachoka atakuacha na atampara mwingine and believe me,UTAMKUMBUKA KWA MAPENZI YAKE MEMA ALOWAHI KUKUTENDEA BUT IT WILL BE TOO LATE.,
 
Hapo kuna tofauti kama upo kwenye mahusiano nao utakuwa unafanya vibaya ila kama wanakufukuzia na huwapendi yaani hujawapa nafasi ya kuwa na uhusiano nao hapo sawa.
 
Utapokuja kufanywa kama chombo cha chooni ulete mrejesho mkuu
 
Ila cku zote thaman ya ktu huwez kuiona mpaka hcho ktu kitoweke,,,ndug yang hyo dhambi lazma itakutafuna
 
uliyenaye anakupenda?
 
Si anaitwa aisha binti mwenyewe? Ha ha ha just kidding!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…