mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
Wakuu,
Natumaini kila yuko salama kuna mdada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja nilitokea kumpenda sana na nilikuwa na mpaka nimuweke ndani maxima siku ya kwanza kuonana nae ilikuwa dukani alikuwa akinunua mahitaji ya nyumbani na Mimi nilikuwa nikitembea mitaa hiyo kwenda kwenye Mishe zangu nilipomuona nilivutiwa nae sana ikabidi nimfuate nikampa hi!
Kisha tukafahamiana kidogo kutokana na ucheshi wake na tabasamu lake lilinifanya nimtazame usoni kwa muda mrefu sio siri ni mzuri sana kwa jinsi alivyokuwa mzuri akipita mtaani hakuna mwanaume hasiyezungusha shin go take kumuangalia ana figa hata Beyonce haoni ndani.
Siku hiyo tukabadilishana namba baada ya hapo nikamuaga nikaondoka siku inayofuata nikampigia simu kumjulia hari baada ya wiki moja nikapanga tuonane ili nivunje ukimya, nilipokutana nae nikamueleza ya moyoni kwa kweli lile jambo hakulipokea akadai haitaji kuwa na Mimi iliniuma sana kumkosa ikabidi nimuage na kuondoka ila toka siku hiyo nimetokea kumchukia sana.
Wakuu nifanye nini niepukane na hali hii.