Habar zenu wan jf..nimeridi tena..me nina miaka 25.nimeolewa na nina mtoto wa miaka 2.miaka yote niliyoishi na mume wangu tumepata mafanikio japo nimepitia matatizo mengi kwa kuwa huyu mume kanizidi cna umri na ni mtu wa totozi sana
Sasa kwa kuwa nimetoka ktk familia ta wacha mungu nikaona nipambane na maisha huyu ndiye mume mungu aliyenipa.
Nimekuwa nikivumilia na huu ni mwaka wa 7 wa maisha yetu pamoja lakini nakereka na vitabia vingi ukiwamo wivu alionao kwangu wa kuputiliza natabia ya kuweka watu wa majirani na ofisini kwangu wanichunguze nan anakuja nan nna mazoea nae hasa wanaume.
Hiki kitendo huwa kinanikera nataman hata cjui nifanyaje na nkimuuliza asema et hawez acha kufanya hivyo coz me mkewe.kiukweli ni mbishi.
Ukweli ni kuwa me kma mwanamke mrembo kutongozwa ni kitu cha kawaida lakini sina mahusiano nje ya ndoa yangu.
Hapa nilipofikia nahisi namchukia mume wangu..what am gona do au niishije na huy mtu bila kukwazika?
nikimuona nasikia kulia tu na nikilia anasema eti kuna mtu namkumbuka dats y nalia.wakubwa wangu nielekezen kidogo ntaipoteza ndoa yangu
Hilo hapo ndilo kosa kubwa ulilolifanya!!! Wewe una 25yrs unamaanisha yeye ana 50 siyo? Aisee! Kuolewa na baba yako ni challenge kubwa sana. Atakuwa anakulinda kama mie navyowalinda mabinti zangu hivi sasa. Nawalinda kuliko navyomlinda mama yao.La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwaj
kwanza futa dhana ya kusema "" unamchukia mume " unatakiwa umpende kwa kila hali ...
pili hata ukiwa mzuri si lazima utongozwe yawezekana unaumia kwa kukosa fursa ya kutongozwa ..
kaa chini jipange jinsi ya kuishi na mmeo yawezekana kuna mambo unamkwaza ndo maana amekuundia jeshi la ulinzi
tena umesema ni mcha mungu sijui MUNGU gani unaemcha ambaye hasikii maombi yako; piga magoti omba toba MUNGU kakupa mme we wamchukia. angali dunia mti mkavu... anyway ila TOBA ya kweli inahitajika kama bado upo kanani kweli...Mie naona bado unaishi kanani,
nchi ya ahadi
nchi ya mana na asali na maziwa
hivi wewe ni mgalatia?
Umerogwa?
Ni mgeni yerusalemu hii ya ndoa?
Sasa kama anakuwekea watu wakuchunguze
na wewe huna siri ya kuficha hofu yako nini??
Anyway, umri unaruhusu hayo mawazo yako.
atampendaje kama alimtamani kabla ya ndoa
akuna kitu kibaya kama kujipa moyo ntampenda tukishaoana loh!!!Akamuulize habakuki kwenye baibo
La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwaj
Huyo mume Mungu ndie amekupa? Hahahahahahaaa....dini bana!....na maisha huyu ndiye mume mungu aliyenipa.