duh.....sasa kwani we unataka nini??????
tukusaidie lipi hasa?
umesema unamchukia sasa sisi tukusaidie usimchukie au vipi?????
huoni kama umeshaamua hutaki ndoa yako ivunjike
hakuna namna zaidi ya kuvumilia?au unataka tukushauri uvunje ndoa?
Nahitaji ushauri jinsi ya kuhandle hii situation coz inaniumiza mm
Nifanyaje ili nisimchukie...na kma huna ushauri syo mbaya ukapita kaka
La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwajDavina
Jaribu ku compile matatizo yooote ya ndoa yako ABC ukimaliza uweke sreadi tukusaidie
La kuzima simu limeisha ??naona limekuja lingine la wivum
Nahisi bado litakuja lingine
Pole sana najaribu kuwaza ni msaada gani unahitaji Davina
Mi nadhani huyo mume umeshamchoka. sidhani kama unahitaji ushauri tofauti na kukuambia uachane na huyo mkaka. fanya hivyo basi, take a loong break.............. ukishahangaika sana huko nje then utajua unataka nini hasa.............La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwaj
Ili usimchukie MPENDE.
Badala ya kukereka akikufuatilia chukulia kwamba anakupenda sana hivyo anakulinda.