Nambeni Masada Juu ya hili

shunayla

Member
Apr 24, 2018
80
49
Nasumbuliwa sana na tumbo wakati wa sku znagu na huwa naingia cku 3 had5.Lkn mwezi huu toka nilvyopta tar20 hadi leo damu hazijkata
 
Nilienda juzi kuna dawa amnipa ss cjajua kma ndo zmezdsha au lah na maumiv bdo nayaskia
pole sana, endelea kunywa dawa, pengine ndiyo process ya tiba yenyewe, ila hali ikiendelea si vibaya ukitafuta second opinion kwa bingwa mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom