Nambeni anayejua chuo kinachopokea kozi za CBN

Km matokeo yako advance yamesimama uuguzi na ukunga unasoma popote pale mkuu... Ila ni kwa degree
 
uuguzi hupatiiiii hata kwa dawa guide book ya tcu siuliiona ya mwaka jana watu walikuwa na one kali lakini wapo bsc chem or bioz
 
uuguzi hupatiiiii hata kwa dawa guide book ya tcu siuliiona ya mwaka jana watu walikuwa na one kali lakini wapo bsc chem or bioz
We jamaa mbona unaongea vitu usivyovijua? Anasoma nursing bila wasi wasi sifa afaulu vizuri tu.
 
Back
Top Bottom