ni kweli mkuu siasa siyo chuki,lakini kwa hali tuliyofikishwa na ccm ni kosa kubwa kusajili gari kwa
namba zinazoitangaza ccm.labda uwe kada wa chama, hivyo aliyetoa tahadhali amefanya vema ili
kwa mtu asiyeipenda ccm asubiri hizo namba zipite kwanza.
lakini t xxx ccm, haimaanishi chama cha mapinduzi tanzania.