Hivi Hawa jamaa wa takukuru kwa nn wanabadilishabadilisha no za magari Yao na sio madereva au maofisa wao kwa hadi wanakera. Magari yenyewe ya gharama ambayo ni raia wachache hasa waarabu.

MM, hebu funguka vizuri mkuu maana hujaeleweka kabisa!
Hivi Hawa jamaa wa takukuru kwa nn wanabadilishabadilisha no za magari Yao na sio madereva au maofisa wao kwa hadi wanakera. Magari yenyewe ya gharama ambayo ni raia wachache hasa waarabu.
...Huwezi kushindwa kuzitambua gari zao hata kama watabadirisha namba labda useme hawataki mtabue namba wanazotumia....kama gari ni Nissan patrol itabaki kuwa hivyo unless wabadirishe na rangi.....Inawasadia msizitambue gari zao
Hivi Hawa jamaa wa takukuru kwa nn wanabadilishabadilisha no za magari Yao na sio madereva au maofisa wao kwa hadi wanakera. Magari yenyewe ya gharama ambayo ni raia wachache hasa waarabu.
Nakubaliana na wewe,hii ni sawa na kubadilisha nguo ili usitambulike wakati sura ni ile ile....Huwezi kushindwa kuzitambua gari zao hata kama watabadirisha namba labda useme hawataki mtabue namba wanazotumia....kama gari ni Nissan patrol itabaki kuwa hivyo unless wabadirishe na rangi.....
wewe hakimu wa mahakama ya mwanzo?