Naomba mwongozo wa namna ya kuandika barua ya kuomba namba yangu ya NIDA kufunguliwa ambayo nitamtumia ndugu yangu atayeiwasilisha ofisi za NIDA ambako nilijiandikishia ili waweze kuunblock namba yangu pamoja na kumpatia kitambulisho.
Sababu za kufungiwa nimeambiwa ni kutokuchukua kitambulisho kwa muda mrefu.
Sababu za kutokuchukua nilihama mkoa kabla hawajatoa kitambulisho
Wao tumewavumilia miaka hadi mitano baada ya kujiandikisha ndiyo tukapata vitambulisho vyetu au kwa vile vinafutika upesi wana hofu ukienda hutakitambua hivyo bora uombe upya!