Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,133
- 166,019
dots ni kwa ajili ya wenzetu wasioona. Zinawawezesha kujua wapo usawa gani ktk kibodi.
Unadhani zote kama yako??mimi kwangu mbona sioni??mimi natumia iTouch inakuwaje kwa mambo ya touch??Ila nachojua ktk simu namba 5 ni kiunganishi kama "enter"unawezakutumia nokuingia katika menu!au katika games hutu mika no 2-6-8-4(5)kama comand key!Naomba nieleweshwe kwa nini kitufe chenye namba tano kwenye keypad za simu kina nukta au alama tofauti na namba nyingine?<br />
Hebu angalia simu yako
crap crap - by rev masaMark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya Shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.
crap crap - by rev masa
Mark of the beast.

usimsingizie Masanilo Rev wa ukweli
Mark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya Shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.
mark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.
kwa hiyo na mimi nikikuambiausimsingizie Masanilo Rev wa ukweli