hatupo kwenye mtihan wa kiswahil besides nenda kamfundishe demu wako.Dogo jifunze kuandika. Ni hakupokea na hakupatikana.
Zipo kwenye akaunti.Kwako zimebaki herufi pesa zisharudi kwa mwenyewe
Great thinker ni ww.Huyu nae ni great thinker??
hatupo kwenye mtihan wa kiswahil besides nenda kamfundishe demu wako.
Kiongozi nimekuPM namba zangu za voda nirudishie hizo hela, nilikosea kutuma juzi mchana,
asante
Wandugu juzi mchana kuna namba imetuma pesa kwenye airtemoney yangu, imeanza kutumwa shs.1,00000, kisha kma baada ya dk 1 ikatumwa shs.50,000.
Mtumiaji simfahamu ni namba ngeni kwangu, nikajua moja kwa moja amekosea namba.
Mikatulia ningoje anipgie aanzee kujielezea jinsi alivyokosea na kutaka nimrudishie hizo pesa.
Wandugu ilikua mida ya saa tisa mchana mpka sasa hiyo namba aijanitafuta kwa vyovyote mpka sasa!
Na pesa zote bado ninazo kwenye airtel money, sasa sielewi imekuaje hi?
Nimejaribu kuiifatilia namba iliotuma pesa nimegundua sina uhusiano nayo kwa vyovyote sielew maana yake wakuu.
Mkuu hyo hela niliituma mie kwa kukosea,, ilikua saa saba/nane hiv mchana na nisharipoti suala hili kwa customer care was airtel zaidi ya mara tano wananiahidi kulishughulikia suala hilo bila mafanikio, nahisi kuna mtu anamasirahi na wewe mkuu huko airtel,, naendelea kuwataarifu tena nw nione ukenge wao tena
Mbna Nikikupgia aupatikani???!!!Wandugu juzi mchana kuna namba imetuma pesa kwenye airtemoney yangu, imeanza kutumwa shs.1,00000, kisha kma baada ya dk 1 ikatumwa shs.50,000.
Mtumiaji simfahamu ni namba ngeni kwangu, nikajua moja kwa moja amekosea namba.
Mikatulia ningoje anipgie aanzee kujielezea jinsi alivyokosea na kutaka nimrudishie hizo pesa.
Wandugu ilikua mida ya saa tisa mchana mpka sasa hiyo namba aijanitafuta kwa vyovyote mpka sasa!
Na pesa zote bado ninazo kwenye airtel money, sasa sielewi imekuaje hi?
Nimejaribu kuiifatilia namba iliotuma pesa nimegundua sina uhusiano nayo kwa vyovyote sielew maana yake wakuu.
Sina Mamlaka Nazo, Sio Zangu. Alafu Uwa Sipendi Vya Mtu. Nikupe?Unaogopa kuilia chips. Kuku na soda kama mwanaasha?
Siamin Hiyo Kitu Mkuu.Ushajiunga Freemason tayari