mchumihalisi
Member
- Oct 8, 2015
- 28
- 98
Lugha za kigeni wenyewe mnaita 'Branding' lakini kumbe hizi Brand pia zina gharama zake kuzi-mantain kama ambavyo huyu kijana wa 'Shilawadu' Soudy Brown anavyohakikisha brand yake haiteteleki.
Nipo kwenye harusi ya Mmoja kati ya staff wa Clouds (Dj Zero) ulipofika muda wa msosi nikawa najiuliza jamaa atakulaje..! Huwezi amini mpaka Wapishi wanaanua msosi kupakia kwny gari hajala, na hapa kafika toka saa 2 usiku.