Namba ipi niitumie kuombea mkopo

Namba ipi niitumie kuombea mkopo

must b

Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
60
Reaction score
10
Nina mdogo wangu amerudia kufanya mtihani wa form 4 mara 3
Ndio akapata credit za kwenda form 5.cheti cha kwanza akina credit ana division 4 ya 30.
Chapili alirudia masomo 7 akapata division 3 na credit 2 ikawa bado credit 1 akarudia masomo 3 ndo akapata hiyoo credit na kwenda form 5 .nashukuru form 6 akapata division 1 ya 9
Sasa naomba msaada kwenye kuomba mkopo nitumie cheti gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the oldest number suits better,, hata kwenye dash board yao wamesema then atajaza no of f4 sittings kulingana na idadi aliyofanya huo mtihani na option ya kujaza sittings kulngana na idadi aliyokaa itafunguka
 
Ya mwanzo kabsa ambayo haina Credit(ya School Candidate), wakiingiza hiyo namba wataona mtiririko mzima wa namna ulivyorisiti.
 
Nina mdogo wangu amerudia kufanya mtihani wa form 4 mara 3
Ndio akapata credit za kwenda form 5.cheti cha kwanza akina credit ana division 4 ya 30.
Chapili alirudia masomo 7 akapata division 3 na credit 2 ikawa bado credit 1 akarudia masomo 3 ndo akapata hiyoo credit na kwenda form 5 .nashukuru form 6 akapata division 1 ya 9
Sasa naomba msaada kwenye kuomba mkopo nitumie cheti gani

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuuliza sio ujinga lakini kuna guide book ya heslb na tcu
Hebu tuzisome haya maswali yanachosha kwa kweli
 
Mchango #3 una maelekezo yakufuata. Mpe hongera zake kwa kuto kata tamaa na aendelee hivyo hivyo.
 
unajaza ya kwanza then baadae kuna sitting arrangement zingine kutokana na mwaka wa kurisiti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom