hahahah,ulijuaje?Acha uongo MR.NOMA, simu umepigiwa wewe unaongopa eti amepigiwa ndugu yako kijijini, kwani ukisema ukweli utaonekana mshamba!
wambie mimi wanipigie nitapokea. Unajua namba za freemason nazitafuta sana!!
Wakikupigia uniunganishe nao na mimi, nawatafuta sana aisee...
kuna ndugu yangu anaishi kijijini, kapigiwa simu na namba inayo anza na 0901 sasa aliogopa kupokea,na imekuwa ikimpigia mara kwa mara,alipo wauliza watu wakamwabia asipokee hao ni freemason,akipokea tu atapata matatizo. tunaomba ufafanuzi kwa anayeijua namba hii ni kodi ya nchi gan?