NAMBA 16 ni namba ya WASICHANA.

bishost umeua,na wenyewe walivyo mazo..ba hawagundui hata!!

Tunajua sana,akili kumukichwa,nikijua nakausha tu,tena kama nilikuwa nampango na wewe ndo basi na sitakuambia ila nitaendeleza mgegedo.
Lakin malengo yote ndo kwishineyi na wewe unaendelea kuamini mimi zoba na mwisho wa siku unapoteza wewe
 
Record broken,bibi wa miaka 79 anachati JF.
Wekeni kwenye kumbukumbu hiyo.
Kwani wewe bibi yangu hukuwahi kuwadanganya babu zangu kuwa uko 16?

sikuwahi kumdanganya babu yako kwa sababu amenizidi miaka mitano wakati nazaliwa alinilea.
 
Unakuta ki2 kimekomaa hata mkorogo umedunda! Sidanganyiki, kama unataka kugegeda we gegeda tu! Wasituletee za kiumri hapa!
 
Unakuta ki2 kimekomaa hata mkorogo umedunda! Sidanganyiki, kama unataka kugegeda we gegeda tu! Wasituletee za kiumri hapa!

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha,mkorogo kama mtenisi nao unadunda.
 
janga ligine la taifa.. wafunguliwe mashtaka wote wanaodanganya umri maana ni dalili za utapeli...
wanataka kuuza mbuz kwenye gunia ..khaa!
 
Mkuu me nadhani sababu ndo Sweet Sixteen...hivi
 
kwasababu nyinyi akina kaka mnapenda watoto wadogo. so changes should begin with you.

Siyo kweli, huoni siku hizi vijana wako na mijima na tena wengine sawa kabisa na mama zao wadogo?
 
sa unikute kikongwe heaven hapa,agee imeenda halafu nidanganye 16........,

hivo no vibint vinavyokuwa sie siku hizi hatudanganyi umriii tuna mambo yetu makubwa tunayodanganya

Kwa mfano matumizi ya 0713...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…