Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,640
- 155,001
Kwanini namba hii inahusishwa na uchawi na si namba nyingine yoyote?
Sio kwamba wanaamini namba, sema tu kuna namba fulani zinakua na maana yake. mfrano: mbona humwmbii mtoto kua utahesabu hadi saba awe amemaliza? unasema tatu ao tano ao kumi. sasa huo ni mfano mdogo. Imagin katika bibilia wanasema Israel ilikua na kabila 12, alafu ya 12 ikapotea. ilikua no watoto 12 wa Jacob (akiwemo Josef) na wa 13 ndio Benjamin. Pia wanasema Yesu alikua na wafwasi 12, yeye mwenyewe wa 13. wanasema watu 144000 watatawala pamoja na Mungu kesho ahera. hiyo ni 12 X 12 elfu plus moja: Mungu Mwenyewe. Mwaka una miezi 12 na zote 12 ndio mwaka 1. pia kuna namba 7: siku za wiki ni 7, waislamu wanasema kuna mbingu 7, bibiblia inasema msamehe mtu mara 77 X 7 etc. kwa hiyo utake usitake kuna baadhi ya namba zinakua na maana yake symbolic na ni vizuri kujua maana hizo. kama huoni faida kwako mwenyewe, at least jaribu kujua ni namba ipi unaweza kutumia ili message yako isitafsiriwe visivyo.watu mnaacha kumuamini muumba wenu mnaanza kuamini namba
Sio kwamba wanaamini namba, sema tu kuna namba fulani zinakua na maana yake. mfrano: mbona humwmbii mtoto kua utahesabu hadi saba awe amemaliza? unasema tatu ao tano ao kumi. sasa huo ni mfano mdogo. Imagin katika bibilia wanasema Israel ilikua na kabila 12, alafu ya 12 ikapotea. ilikua no watoto 12 wa Jacob (akiwemo Josef) na wa 13 ndio Benjamin. Pia wanasema Yesu alikua na wafwasi 12, yeye mwenyewe wa 13. wanasema watu 144000 watatawala pamoja na Mungu kesho ahera. hiyo ni 12 X 12 elfu plus moja: Mungu Mwenyewe. Mwaka una miezi 12 na zote 12 ndio mwaka 1. pia kuna namba 7: siku za wiki ni 7, waislamu wanasema kuna mbingu 7, bibiblia inasema msamehe mtu mara 77 X 7 etc. kwa hiyo utake usitake kuna baadhi ya namba zinakua na maana yake symbolic na ni vizuri kujua maana hizo. kama huoni faida kwako mwenyewe, at least jaribu kujua ni namba ipi unaweza kutumia ili message yako isitafsiriwe visivyo.
The Knights Templars were the holders and keepers of the ancient occult knowledge which owes its history as far back to the Babylon Empire. That is why 13 is associated with the Knights. The Knights has a knitted link with the Church, that is why the religious leaders continued to retain the symbolism. After the Church doing away (technically) with the Knights, Jesuits took over to foster the same mission. The Jesuits played a pivotal role in the formation of Freemassonry. And freemassonry gave birth to a quite number of secret societies such as the illuminat, skul and bones, the knights of malta, the Knights of collumbus, Rotterers and etc. The 13 steps in the pyramid on the US one dollar, 13 arrows and etc epresents the occult order.Each Secret Society belongs to a specific order. I speculate, the upper the step in the order depends on members occult a. K. a Luciferian knowledge.The top in the order, clearly demonstrated by the All Seeing Eye on top of the pyramid which stands for Lucifer, and below him is the head of the church. Though confusingly the so called head of the church are two one is known as black ( ), the head of the secret society of the church who is believed to be the most powerful man on earth.Source: amaizingdiscoveries.orgKwenye dollar kuna vi-13 kibao. Thirteen arrows, thirteen stars, thirteen bars, thirteen fruits, yaani hii kumi na tatu sijui ni nini.