SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,756
Wote tunajua namba pendwa 0713 kwa sasa hapa mjini ni tusi. Nataka kujuailianzje maka ikawa tusi/neon/lugha ya kuudhi?
Tusi kivipi mkuu?mm hiyo ndio code no ya simu nayotumia kila siku
Unakumbuka kale kamsemo "express yourself" ndo ilianzia maana hata kule unajiexpress yourself.