Namashaka na weledi wa mwanasheria mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namashaka na weledi wa mwanasheria mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Hunter, Jan 12, 2011.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu kupitia maelezo ya Mh. Mwakyembe, na hasa alipodai kesi ya Dowans kwa serikali hata angepewa mwanafunzi wa first year law angeshinda nikamfikiria Mwanasheria mkuu, alipoishauri serikali isikate rufaa kwamba itashindwa,kwamba Je,
  1. Huyu Mwanasheria mkuu sindio anapaswa kuwa mjuzi na mtaalamu ktk tasnia hii kanakwamba alipaswa haya anayoyasema Mwakyembe kuyaona kwanza?
  2. Huyu bwana anauzalendo kweli au ndo athari za elimu madesa.?
  3. Sini huyu haoni umuhimu wa katiba mpya?
  4.Kwanini sasa tusiamue kumshinikiza ajiuzulu, maana kwanza amelitia taifa hasara kwa malipo na gharama ambazo zimelipwa kwa wote waliohudhuria shauri hili la dowans kule ICC? Maana wamelipana mabilioni na bado wakashindwa!
  5.Huyu bwana ni adui yetu mbaya naamini atakuwa mbaya zaidi ya chenge.
  Haya tunayoyasikia yako hivi vipi yale wanayoyafanya kimyakimya?
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  madesa oriented,hata kes alikua akikariri nt kuzielewa
   
 3. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa ni hopless kabisa, tarehe 26.12.2010 nilisafiri naye kutoka Dar kwenda Mza, njiani alikuwa anasoma Ilani ya uchaguzi ya CCM!!!!
   
 4. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu tupo hatarini,kiti cha AG hakuna m2 pale ni koti tu.kama kuna namna yoyote kumshinikiza angoke ni sasa,hana uelewa wa kutosha wa sheria nachelea pengine ndo wale wanunua vyeti
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli, aondoke huyu: Katuchosha.
   
Loading...