Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,302 Reaction score 14,617 Jan 18, 2026 #2 Kutokuelewana katikati ya watu hutokea kwa sababu ya kutokuelewana mitazamo na hiyo hutokea baada ya kutokuelewana kihisia.
Kutokuelewana katikati ya watu hutokea kwa sababu ya kutokuelewana mitazamo na hiyo hutokea baada ya kutokuelewana kihisia.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,734 Reaction score 130,755 Jan 18, 2026 #3 NALO NENO Inasound kimama, mtoa mada ww jinsia gani?
Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 456 Reaction score 1,002 Jan 18, 2026 Thread starter #4 Mbaga Jr said: NALO NENO Inasound kimama, mtoa mada ww jinsia gani? Click to expand... Ni mtazamo tu