Naliona taifa jipya tanzania ktk miaka5 ijayo.


T

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
3,268
Likes
2,222
Points
280
T

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
3,268 2,222 280
Kwa miaka mingi taifa hili limekuwa likisubiri mabadiliko na uwenda hata wale walitabiri leo hatupo nao lakini leo ninafuraha kubwa kuwa mapinduzi ya kisiasa ktk siasa za taifa la Tanzania yameanza. Najuwa weng watachukua kawaida ila mim kwangu najuwa even if ccm wataiba kura miaka mitano ijayo haitokuwa rahisi kwao. Watanzania watashuhudia upinzani wa kwel kila kunapokucha namwisho 2015 kuking'oa chama, binafsi mwaka huu na mwanzon mwa miaka ijayo sitoshangaa kuona mafisadi wakisimamishwa ktk vyumba vya mahakama. Nina iman na mabadiliko na nina iman na Tanzania mpya ktk mwanga huu mpya wa upinzani Tz. Naiman at the last Kikwete hatokumbukwa ktk historia ya Taifa hili maana amewapa dhiki kubwa watanzania na tumemchoka. Naiman juu ya taifa jipya ndani ya taifa langu Tanzania. God bless Tz.
 

Forum statistics

Threads 1,250,654
Members 481,436
Posts 29,740,520