Naliona pengo la mchungaji Mtikila

Naliona pengo la mchungaji Mtikila

jkachoko

New Member
Joined
Nov 29, 2017
Posts
3
Reaction score
2
Uwepo wa vyama vya siasa in kwa mujibu wa katiba ya Tanzania kutokana na kukubaliana kama taifa tuwe na vyama vingi vya siasa ili kupanua demokrasia. Kwa mujibu wa katika vyama vimerusiwa kufanya kazi ya siasa wakati wowote wanapohitaji kuwasiliana na wanachi na kuingiza wanachama wapya kwa njia ya kuwasawishi kupitia mikutano.

Katikea mwenzetu mmoja kama mwanachi mwanachama wa chama cha siasa kilichopewa ridhaa ya kutawala maana siyi kuongoza katangaza kuzuia kufanyika shughuli za siasa kupitia mikutano ya hadhara. Viongozi wa vyama vya siasa wanasikika wakilalamika kuwa katiba imevunjwa lakini hakuna anayekwenda mahakamani kuitafuta haki iliyonyang'anywa baadala take wanalalamika tu. Ndiyo maana nasema pengo la mchungaji Mtikila linaonekana wazi, nina uhakika Mchungaji Mtikila hili angelifisha mahakamani ili haki ionekane imetendeka. Mnakumbuka alivyoiburuza serikali mahakamani kuhusu mgombea binafsi.

Pengo LA Mchungaji Mtikila. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi. Amiina
 
Back
Top Bottom