Naliona anguko la Chadema Kalenga

Naliona anguko la Chadema Kalenga

Kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la kalenga zimeanza huku chadema wakizindua kampeni zao jana uzinduzi uliofanywa na katibu mkuu wa chama hicho Dk Wilbrod Slaa.

Ni kampeni zitakazochukua muda wa wiki tatu huku picha zilizo katika baadhi ya magazeti yakionyesha umati wa watu ukishiriki katika uzinduzi huo

Ni umati unaoridhisha ukiuangalia kwa macho tena unaleta marimaini

Bahati mbaya wengi walio katika umati huo si wapiga kura wa kalenga na wengine wakiwa wametoka Dar

Kama hali hiyo ya mkusanyikovitaendelea na cdm kutokufanya jitihada za kuwahamasisha wanakakenga wenye shahada ya kupiga kura kukipigia chama hicho ni wazi ushindi utakuwa mgumu kwao,hali jama hii pia ilijitokeza katika uchaguzi mdogo wa kata ya magomeni bagamoyo ambapo waliotoka Dar walikuwa wanahudhuria zaidi mikutano ya kampeni kuliko wapiga kura ni wakati wao wa kuliangalia hili kabla mambo hayajaharibika

Watakutukana hao! Hawaambiliki cdm!
 
Mijituu mingineer na uchambuzii hewa tuuu
 
nita washangaa wakimchagua huyo dogo,mtoboa masikio huku makazi yake yako London aliko oa mzungu
 
CDM wapo makini sana. Wamefaya uchunguzi wao wakagundua wanakubalika Kalenga kwa rika zote kwa zaidi ya 80%. Hivyo hawana haja ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura!

TWENDENI MAKAMANDA WA NYOMI MIKUTANONI!!!
 
Siyo kweli kwamba ktk kata ya magomeni bagamoyo watu walikuwa wakitoka dar. Inawezekana huijui jiografia ya kata hiyo iliyo katkati ya mji wa bagamoyo. CCM wanatumia jiografia ya isiyo bayana kubinya wafuasi wa cdm kutumia haki yao ya kikatiba. CCM wameshinda kwa rafu, hujuma , rushwa na mambo mengine yanayofanana na hayo. Utakukumbuka siku ya uchaguz niliripoti kuwa ccm wanabeba wapiga wapiga kura toka majumban mwao. Kitu ambacho ni rushwa.
 
Sio kweli kuwa wanatoka Dar,ila sema wengi wao hawamo kwenye daftari la wapiga kura au wamepoteza shahada.Na ukizingatia daftari halijaboreshwa toka 2009.Ushindi kwa CDM utakuwa ni ndoto.
 
Mi napita tu jama,ila naomba tutete kdogo kwa njia ya swali,hivi makamanda vipi usajiri mpya wa wana kalenga ktk daftari la mpiga kula,heb ninawishen macho na kuniosha masikio,
"wenye akili wameelewa"
 
Imeanza thread ya Anguko la ccm kalenga,sasa umeleta Anguko la chadema! Nadhani unalipiza wala huna jipya.kama mwenye akili timamu ungetumia mbinu nyingine.jambo dogo tu unashindwa kufikiri!

hapo kwenye kichwa cha habari ndipo alipojichanganya na kile anachosema ndani arudi class
 
Afu nashangaa, Sijaziona CHOPA kwenye kampeni Kama ilivyo ada wazee Wa gwanda. MBWEMBWE ZOTE ZIMEWAISHA!
 
Ni ushauri jamani embu punguzeni jazba...ila kwahapo anaposema watu weng toka dar ameshemsha!wameletwa na malori na cdm
 
Mbona kila mtu ukimuuliza nani anashinda Kalenga wanajibu kabla hujamaliza Geoffrey Mgimwa.
Chadema wameisha fail kabla ya kuanza kampeni, lakini kitendo cha Dr.Slaa kuja hapa Kalenga kumnadi huyu mama ndo kimewakasirisha wapiga kura kwani imedhihirika kuwa huyu ni chaguo la wakubwa na sio aliopigiwa kura na wajumbe wa chadema.
 
Mmeshaanza kupanga mbinu za kuiba kura ili baadae mje mseme mlitabiri.shame!
 
Back
Top Bottom