Story za nguate
Member
- Mar 20, 2022
- 27
- 46
Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
kwa hiyo wewe ulitaka makatazo yaendelee na utekaji uendelee? wizi wa kura live live uendelee ili kuilinda CCM ?Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Naona umeamua kujifariji kutokana na msongo wa mawazo.Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Kamanda meli kubwa tutumiayo kusafiria inaelekea kaanani tutakako musa atupeleke Mimi na wewe sote tuuu wana wa Yakobokwa hiyo wewe ulitaka makatazo yaendelee na utekaji uendelee? wizi wa kura live live uendelee ili kuilinda CCM ?
Kila jambo lina mwisho wake ndugu, hata Dola ya warumi ilianguka itakuwa CCM sheikh?
Wape wananchi haki zao... katiba iheshimiwe na wote, sheria za nchi ziheshimiwe - ukitekeleza haya basi wewe ni kiongozi bora. Usitawi wa Tanzania kwanza mengine baadaye.
[emoji41][emoji41][emoji41]Na iwe kheri
Wapinzani awa akina mboowe na zto thubutu hawa wamekula mkataba mrefu MMO nyie endeleeni kuwategemeaNikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Tangu 2010, binafsi naamini CCM hawajawahi kushinda uchaguzi ....... wanajitangazia tu matokeo kwa namna wanavyotaka wenyewe.Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Kwa maoni yangu kama Raisi Samia Suluhu Hassani akiwezesha mabadiliko na kuwezesha kupatikana kwa Katiba mwafaka, kuna uwezekano mkubwa mama huyu akapata nafasi tena ya kuliongoza taifa kwa miaka mitano zaidi. Hii itatokea kwa kuwa wananchi watakuwa na imani naye kwamba ameweza kuliepusha taifa na mabaya ambayo yangetokea kwasababu ya wahafidhina. Na ili nchi iwe na mifumo imara sasa na kuendelea mama Samia atakuwa mtu muhimu sana katika kuiunda na kuiimarisha mifumo mipya mizuri aliyoianzisha.Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Huo ni moja ya udhaifu wa upinzani, mnakubalije mtu ambaye jana alikua CCM Leo mnampa kijiti kugombea UraisUchaguzi wa '20 ulitoa funzo kwa makada wengi waliokuwa loyal kwa CCM.
Kuelekea '25baadhi watakuwa wakiangalia fursa kupitia upinzani.
Hapa ndio itakuwa ile, asubuhi CCM, jioni upinzani...
Mtu unakuwa na kadi mbili: moja ya CCM, nyingine ya upinzani.
Ukikatwa huku, unagombea kule.