Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
Shikamoo wakubwa waJF?
Kichwa cha habari kinaeleza kwamba tarehe 30.10.2017 nitakuwa pale Jitegemee JKT kuliamsha dude lililoandaliwa na bi Joyce Ndalichako na mshkaji wake Charles Msonde.
Mimi nitasimama kama mtihaniwa binafsi(Private Candidate) na wenzangu wengine.
Dua zenu muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app