Unalia voluntarily or involuntarily ?
its exist mine unajikuta unajiuliza maswali mengi,... wengi huwa tunawaza kanichezea au atanionaje ? kuna wengine usiku hatulali nahisi nimawazo ukikumbuka unajuta hasa kwa nini kanifanya ... unatamani urudishe nyuma huwezi .. its normal
its exist mine unajikuta unajiuliza maswali mengi,... wengi huwa tunawaza kanichezea au atanionaje ? kuna wengine usiku hatulali nahisi nimawazo ukikumbuka unajuta hasa kwa nini kanifanya ... unatamani urudishe nyuma huwezi .. its normal
Kulia katika kubanjuliwa , yawezekana ndio point yako ya kuwa umelizishwa .
Au mdau anakuwa na chombo kama cha mgiriki kwahiyo unakuta ulikuwa unavumila tu ?
Je, huwa unasikia maumivu unapo banjuliwa ? Labda tuanzie hapo.
mmmm Dunia inamaajabu yake tangu nizaliwa ndio kwanza leo nisikie hayo,nikulize mrembo hua unafikiria nini baada ya hayo mambo? kwani huwi karibu na mpenzi wako baada ya kula raha yani kuku hug au kwenda kukoga nae au kupumzika nae ? na una miaka mingapi?Habari zenu wapendwa,
Mwenzenu nna tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa..... Yani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.
Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? mana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?
Ushauri jamani