Nalia na NSSF

Nalia na NSSF

Naomben kuelekezwa pia...
Mtu akiacha kazi kwa hiari yake mwenyewe n process gan a2mie ili aweze kulipwa hayo mafao...kwenye mfuko wa NSSF
Chukua barua ya kuacha kazi,nenda nssf watakupa fomu utapeleka kwa boss wako atakujazia na kusign halafu ukirudisha wanakufungulia madai yako,lkn hii ni baada ya miez sita toka umeacha au kuachishwa kazi.
 
Kwa taarifa yako sio kwamba utasubiri miezi sita mzee,ni had ufikishe miaka 55 ndio uchukue mafao yako,kama Mungu atakuweka hai,ukidanja ndio basi hivyo hata mkeo hata zipata.
 
Chukua barua ya kuacha kazi,nenda nssf watakupa fomu utapeleka kwa boss wako atakujazia na kusign halafu ukirudisha wanakufungulia madai yako,lkn hii ni baada ya miez sita toka umeacha au kuachishwa kazi.
Mimi nna mwaka sasa na miezi mi nne kila nikienda napangiwa tarehe nyingine.. tena sasa hivi hata baada ya miezi sita ukienda unachukua form unaambia nenda nayo nyumbani subiri tena miezi 3 ndio uirudishe.....Poleni sana wahanga watarajiwa wenzangu wa NSSF!!!
 
Jamaa yangu kapewa pesa yake juzi.
 
Naomben kuelekezwa pia...
Mtu akiacha kazi kwa hiari yake mwenyewe n process gan a2mie ili aweze kulipwa hayo mafao...kwenye mfuko wa NSSF
KUACHA KWA HIARI HAWAKUPI ILA KAMA UNA DOCUMENT KUTOKA HOSPITAL IKIONYESHA YA KWAMBA YAFAA KUACHA HIYO KAZI KUEPUKANA NA MADHARA UNAYOWEZA KUYAPATA KAMA UKIWA KAZINI MFANO KAMA UNA UGONJWA,IKIAMBATANISHWA NA BARUA YA REDUNDANCY AU TERMINATION YA MWAJIRI. NDUGU INALETA SHIDA HII UTAFIKIRI NA WAO WANAKUCHANGIA.
 
Dah!!!bas wanazngua sana, na wananikata parefu sana kulinganisha na wa2mish wenzangu 2loanza nao kaz mwaka m1 walioko mifuko mingne...hawa jamaa wana blah blah nying kumbe.
 
mimi kinachonikera sheria inawataka wao ndio wanatakiwa kumfatilia mwajiri anaweka michango kwa wakati na sio mwanachama aanze kumfatilia mwajiri lakini wao wamebweteka tu mitako yao unakuta mwajiri hajaweka michango hata miaka 2
 
Back
Top Bottom