Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
WACHEZAJI NAO NI BINADAMU, Inafika time wanachoka na kiwango kushuka ni ishu yakawaida kwenye sokaWakuu
Binafsi toka msimu ulioisha nimeona ile quality ya zimbwe na mwenzie kapombe inapungua na mistakes zinakuwa nyingi hasa kwa kapombe
Mfano kapombe unakuta anatoa pasi sio sahihi,akipanda anachelewa kurudi,krosi Mara apige nje muda mwingi naona tunaangalia Sijui kiungo Sijui ushambuliaji ila Maeneo ya full back kunihitaji rotations.
Ni kweli Kapombe na zimbwe Ni fullbacks Bora kuwahi kutokea tz...ila swali Ni kweli zaidi ya misimu 5 bado quality inaendelea kuwa ile ile??...hapana kiubinadamu haiwezekani lazima wa drop ndio nilicho kiona Mimi since msimu ulioisha
Ushauri???....Kama Simba umekosa fullbacks wa kuwapa changamoto kwenye wachezaji wa ndani......KWANINI usitenge mzigo wa kutosha na kutafuta full back mzuri ambaye anaweza kucheza ata namba zote 2 na 3 ili aweze kuwapa Changamoto???
Nahitaji maoni yenu wadau.Ahsanteni Nawasilisha
Ni kweli ila mda mwingine inabidi tupate kocha ambaye anabadilika mfano Nabi alikuwa anabadilika sio Kila siku back4 mda mwingine kocha akiona wachezaji wanachoka tegemezi tengeneza mfumo wa kutumia ata back 3 angalau mmoja zimbwe au kapombe wapumzike.......hii system kwa ubingwa wa afrika bado SanaaWACHEZAJI NAO NI BINADAMU, Inafika time wanachoka na kiwango kushuka ni ishu yakawaida kwenye soka
Anyways Yajayo yanafurahisha
Yeah sure mkuuNi kweli ila mda mwingine inabidi tupate kocha ambaye anabadilika mfano Nabi alikuwa anabadilika sio Kila siku back4 mda mwingine kocha akiona wachezaji wanachoka tegemezi tengeneza mfumo wa kutumia ata back 3 angalau mmoja zimbwe au kapombe wapumzike.......hii system kwa ubingwa wa afrika bado Sanaa
Popote ulipo agiza kinywaji broo.....uwelewa wako kwenye mpira ni mkubwa sanaaNaunga mkono hoja ila Kapombe msimu uliopita alikuwa kiwango cha juu. Kwenye ngao Kapombe alipwaya kiasi, nakumbuka kusema hivyo mechi na Singida. Zimbwe nilishamuongelea sana nikaonekana labda ni hater au nataka kumuharibia rizki yake, nikawaachia wakulungwa waliseme wenyewe wakati ukifika.
Shida ya Simba wachezaji ambao ndiyo "weakest link" ndiyo macaptain kwa hiyo shughuli ya kuwaweka benchi inakuwa ngumu hata kwa kocha.
Pia mashabiki uchwara wanazngua kwetu simba........mbona naona kama yanga wao kwenhe inshu ya kocha mashabiki wao hawana miamko na kocha kama simba umeliona hili??hao wachezaji Kwa umri wao walitakiwa wasiwe wanacheza mechi zote. Kuna tatizo la kocha kuwapanga mechi zote na pia mashabiki kupiga kelele asipopangwa mmoja wao bila kujali wanavyofululiza kuwapanga wanawachosha na kudumaza viwango vyao.
Yaani kocha ana kazi ngumu mchezaji ambae kocha hamuelewi ndiye captain au ndo mashabiki wanamtaka unafanyaje??Naunga mkono hoja ila Kapombe msimu uliopita alikuwa kiwango cha juu. Kwenye ngao Kapombe alipwaya kiasi, nakumbuka kusema hivyo mechi na Singida. Zimbwe nilishamuongelea sana nikaonekana labda ni hater au nataka kumuharibia rizki yake, nikawaachia wakulungwa waliseme wenyewe wakati ukifika.
Shida ya Simba wachezaji ambao ndiyo "weakest link" ndiyo macaptain kwa hiyo shughuli ya kuwaweka benchi inakuwa ngumu hata kwa kocha.
Tatizo kocha akijaribu kufanya rotation washabiki wanamshukia kama mwewe.hao wachezaji Kwa umri wao walitakiwa wasiwe wanacheza mechi zote. Kuna tatizo la kocha kuwapanga mechi zote na pia mashabiki kupiga kelele asipopangwa mmoja wao bila kujali wanavyofululiza kuwapanga wanawachosha na kudumaza viwango vyao.
Kidogo unatuchanganya. Unataka watu wasitoe maoni yao wawaachie mapro wafanye kazi yao ila wakati huo huo uzi wako unaongelea kasoro katika uchezaji na rotation ya timu. Embu tupe ufafanuzi kidogo.Chekini yanga walifika hadi fainali coz ya kumuachia majukumu kocha.....sisi Simba Nini kimetuloga???.....tunaipenda Sanaa timu yetu Ila kuna muda inabidi tuwaachie wenye profession zao....ww unajidai kuujua mpira umesomea wapi ww???au kuangalia TU kwenye Tv ndio unahisi Ni rahisi kiasi hicho????.....hapana!!!!.....
Huyu ni UTO anaejivisha UsimbaKidogo unatuchanganya. Unataka watu wasitoe maoni yao wawaachie mapro wafanye kazi yao ila wakati huo huo uzi wako unaongelea kasoro katika uchezaji na rotation ya timu. Embu tupe ufafanuzi kidogo.
Daaah!Huyu ni UTO anaejivisha Usimba
Umesahau kuwa YangaChekini yanga walifika hadi fainali coz ya kumuachia majukumu kocha.....sisi Simba Nini kimetuloga???.....tunaipenda Sanaa timu yetu Ila kuna muda inabidi tuwaachie wenye profession zao....ww unajidai kuujua mpira umesomea wapi ww???au kuangalia TU kwenye Tv ndio unahisi Ni rahisi kiasi hicho????.....hapana!!!!.....
Pamoja na kuwa ali drop kiasi baada ya majeraha, ila Thadeo Lwanga aliweka balance nzuri sana Wakati wake pale Simba, Huyu Putin, Ngoma wanacheza juu sana. Fraga pia alikuwa anaweza ku drop akacheza katikati ya mabeki kiasi hata Mabeki wa pembeni wakipanda, nyuma kunabaki na watu watatu imara. Hilo litabaki kuwatesa simba hasa wanapotaka kuwa timu ya kishambulia zaidi mpaka watakapo lifanyia kazi.Muwe mnatufuata Hata PM mnatuuliza.
Simba Haina No 6
Haina Kiungo mkabaji No 6
Haina Kiungo C DM NO 6
SIMBA HAINA NAMBA 66666666