Tatizo letu sis WATANZANIA,,ni kwamba uchaguzi ukifika,,,akili zetu zinabadilishwa kwa kanga,,,vijisenti vya pombe,,yaaani,,,sasa hawa jamaa kimsingi tumewachoka,,wananchi wote wanalalamika,,wakulima wanadanganywa tu,,sera zao ni kwamba elimu kwa wote,,,utulivu,,,hizo ndio sera zao,,,utulivu wakati sisi wengine tunakosa fursa za kusoma?utulivu wakati wengine mnakula milo saba kwa siku?utulivu gani wakati viongozi wanatembelea ''long American cars''ambazo zinatumia mafuta ambayo kwa siku ni ada ya mwanafunzi mmoja mpaka wawili?we acha tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!