Dadeki huyo mmoja alikuwa anahongwa na jamaa flani muuza duka mpaka balaa.. Wana kibao wanamtafutia ramani me aisee aligongwa kwa Suala la CD ya kihindi tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089] Hadi leo haamini maana ni swala tano hasaa...Hahha maneno matamu mengi mtoto anaingia laini
Ukiona manzi anapiga chenga kuja geto jua hajakuelewa mzee..!! Au anatala aendelee kula pesa zako bure...Kuna wengine unawatega kwa mtego wa kware wananasa, wengine hadi utumie mtego wa swala
Aisee ulimpata kiurahisi CD tu, ni techniques tu hapa usipokuwa mjanja hauli mzigo.Dadeki huyo mmoja alikuwa anahongwa na jamaa flani muuza duka mpaka balaa.. Wana kibao wanamtafutia ramani me aisee aligongwa kwa Suala la CD ya kihindi tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089] Hadi leo haamini maana ni swala tano hasaa...
Wengine tulisha acha kutongoza,,Yani balaaa...!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hulii walahii...!! na ukimwambia nakuja kukugonga ooho[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23]Aisee ulimpata kiurahisi CD tu, ni techniques tu hapa usipokuwa mjanja hauli mzigo.
Ukitala upoteze muda na pesa tongozaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utatesekaa sanaa..!!Wengine tulisha acha kutongoza,,
Siku hizi ni mwindo kucheza viambishi elekezi
Huyo mweupe tu mkuu,,Daah huyu kwangu analeta ugumu but nikitest zali kwa wengine wanaingia wwnyewe bila hata kuhangaisha akir
Ndo ugonjwa wetu huo vizawadi, suprise ivi,Miaka iliyopita nikiwa kijana niliwahi kutana na hali kama hiyo.
Nilienda shopping nikamnunulia zawadi kiasi (chuppi classic, saa, manukato, kidani, tight, bra, shanga na sandals) nikavigawa katika box mbili za zawadi.
Nikaweka nae miadi tukakutana sehemu nikamkabidhi box moja huku nikimwambia hili ninalobaki nalo pia ni lako isipokuwa utalipata kwa shariti moja tu (utalifuata ghetto) nikaagana nae nikaondoka.
Kila tukiwasiliana anaulizia zawadi (box) lake, nikawa namtia ndimu kwa kumwambia hili sasa ndio lina zawadi baab kubwa kuzidi hata hilo, haikuchukua muda mrefu akalazimika kujileta tukasokotana weeeee akaondoka na zawadi zake, akazoea akawa anaiosha vizuuuuuriiiii anaileta tunasokotana vilivyo
HahahahahHulii walahii...!! na ukimwambia nakuja kukugonga ooho[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23]
Sio wote, wengine inakuwa waoga tu hawajazoea kupigwa pigwa dudu huku na kule au wanaume walio nao hawawafanyi wakahisi ule utamu wa kuchapana mitiUkiona manzi anapiga chenga kuja geto jua hajakuelewa mzee..!! Au anatala aendelee kula pesa zako bure...
Unajua nn! Hawa madogo wa smart phone,, hawakupitia zile kombolera, ndo maana wanapata taabu sanaa,Ukitala upoteze muda na pesa tongozaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utatesekaa sanaa..!!
Kabisa Mkuu lazima ujipange ilii anase kwenye mtego ,Hulii walahii...!! na ukimwambia nakuja kukugonga ooho[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23]
Yeeeahh ni kweli maake tukiwapa vijizawadi zawadi hata wakati wa kupeana mambo huwa mnalowana huko kwa downtown hatareeee hivyo mkuyenge unakuwa ukiweka kichwa tu unateleza unazama taratiiiibu unazama kunakoNdo ugonjwa wetu huo vizawadi, suprise ivi,
Kweli kabisa hicho unachosemaYeeeahh ni kweli maake tukiwapa vijizawadi zawadi hata wakati wa kupeana mambo huwa mnalowana huko kwa downtown hatareeee hivyo mkuyenge unakuwa ukiweka kichwa tu unateleza unazama taratiiiibu unazama kunako
anakunusuru huwezi kujuaHabari za weekend wadau?
Nilikuwa naomba ushauri ,miezi kadhaa iliyopita nilikutana na binti ambaye nilitokea kuzoeana nae kidogo,baada ya muda kidogo kupita nilianza kutamani awe mtu wangu.
Basi nikaongeza juhudi ya kumfanya awe karibu nami na aniamini,nilianza kugharamika kiaina ,nilimnunulia zawadi mbali mbali,nilimtoa out pia Mara kadhaa,baada ya kuona kwamba ameanza kuniamini nikaamua nimwambie kilichomo ndani ya moyo wangu,but akachomoa kwa kusema kwamba ana mtu wake,niliendelea kukomaa kwa miezi miwili ila bado aliendelea na msimamo wake
Aisee nikaamua kukata tamaa,nikafuta namba ake lakini yeye aliendelea kunitumia text na kunipigia ninapokuwa kimya muda mrefu,nilijaribu kutongoza tena akachomoa aisee mpaka Leo hajawahi kunikubalia lakini simu ananipigia na hata sms ananitumia kama kawa ninapokuwa kimya .
Nilikuwa naomba ushauri ,je nivute subira au nimpotezee mazima?,nampenda sana ila hakuna namna,bint mwenyewe inaonekana ni Bright brain.
Hahaha hadi niwe nampenda hivi hiv hapanaHuwa unalowana na wewe ukizawadiwa?