Nakwama wapii

Kama kweli unamhitaji kuwa mvumilivu ataingia box tuu utapenda mwenyewe
 
Salute sana mzee,one day night nilijaribu kumtumia romantic message wasap akanikimbia,hakutaka chart tena
Daahh anyway but iyo mi njia rahisi.

Sheria nikwamba.. Mwanamke kumpata fasta ni lazma uamshe hisia zake za mapenzi kukuelekea wewe.

Bila ivo akikuweka kwa urafiki zone au kaka zone ...utaomba poo kama ulikua serious
 
Aisee ,thanks
Miaka iliyopita nikiwa kijana niliwahi kutana na hali kama hiyo.

Nilienda shopping nikamnunulia zawadi kiasi (chuppi classic, saa, manukato, kidani, tight, bra, shanga na sandals) nikavigawa katika box mbili za zawadi.

Nikaweka nae miadi tukakutana sehemu nikamkabidhi box moja huku nikimwambia hili ninalobaki nalo pia ni lako isipokuwa utalipata kwa shariti moja tu (utalifuata ghetto) nikaagana nae nikaondoka.

Kila tukiwasiliana anaulizia zawadi (box) lake, nikawa namtia ndimu kwa kumwambia hili sasa ndio lina zawadi baab kubwa kuzidi hata hilo, haikuchukua muda mrefu akalazimika kujileta tukasokotana weeeee akaondoka na zawadi zake, akazoea akawa anaiosha vizuuuuuriiiii anaileta tunasokotana vilivyo
 
Hahaaa imekaa poa hiyo
 
Hujamkomalia wewe... Yani fanya uwezalo mwambie hataa kupitie geto muende Beach mamaee imeisha hiyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089] Nimekula wawili kwa gia ya kwenda beach...
uyo jamaa sio baharia kabsa.m kuna dem aliwahg kuzngua kila njia nlotumia.nkabakiwa na last chance.ikabid nijiuguze getho na nkamuomba aniletee dawa.ase alishtuka na kusema anakuja upes.alivokuja nlikula mzigo ka vile nabaka alinuna akasepa , baada ya week nkaona anantext.na mahusiano yakaanzia apo na anankubal kchz
 
♥ is funny thing. Sasa unataka amuache mtu wake wa maana kwa ajili yako?
Tafuta wa kwako, usipore mwanamke wa mtu, maana na wewe utaporwa
ha ha ha ha mkuu unamaanisha mtoa mada si wa maana kwa huyo binti?
 
Ingia garama kidogo,mtoe 'out' matata na ulipie eneo/chumba private nikimaanisha sehemu ambayo mtakula na kunywa na pia utakuwa uko huru kumshika hapa na pale...baadaye atalegea atakuachia hiyo maneno.
 
Ingia garama kidogo,mtoe 'out' matata na ulipie eneo/chumba private nikimaanisha sehemu ambayo mtakula na kunywa na pia utakuwa uko huru kumshika hapa na pale...baadaye atalegea atakuachia hiyo maneno.
Tatizo muda ,tangu nimtongoze nikimwambie tutoke out anakataa anasema siku nyingine,kila siku anasema hivyo,nimeamua nipumzike kidogo nitamtafuta tena after one year
 
Tatizo muda ,tangu nimtongoze nikimwambie tutoke out anakataa anasema siku nyingine,kila siku anasema hivyo,nimeamua nipumzike kidogo nitamtafuta tena after one year
Anaishi kwao au anajitegemea?
 
Yani hakuamini.. Nilimsugu balaa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akaishia kunigandaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…