Nakwama wapii

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
5,031
Habari za weekend wadau?

Nilikuwa naomba ushauri ,miezi kadhaa iliyopita nilikutana na binti ambaye nilitokea kuzoeana nae kidogo,baada ya muda kidogo kupita nilianza kutamani awe mtu wangu.

Basi nikaongeza juhudi ya kumfanya awe karibu nami na aniamini,nilianza kugharamika kiaina ,nilimnunulia zawadi mbali mbali,nilimtoa out pia Mara kadhaa,baada ya kuona kwamba ameanza kuniamini nikaamua nimwambie kilichomo ndani ya moyo wangu,but akachomoa kwa kusema kwamba ana mtu wake,niliendelea kukomaa kwa miezi miwili ila bado aliendelea na msimamo wake

Aisee nikaamua kukata tamaa,nikafuta namba ake lakini yeye aliendelea kunitumia text na kunipigia ninapokuwa kimya muda mrefu,nilijaribu kutongoza tena akachomoa aisee mpaka Leo hajawahi kunikubalia lakini simu ananipigia na hata sms ananitumia kama kawa ninapokuwa kimya .

Nilikuwa naomba ushauri ,je nivute subira au nimpotezee mazima?,nampenda sana ila hakuna namna,bint mwenyewe inaonekana ni Bright brain.
 
Unajichelewesha buree mpige mtoko huko huko jiongeze
 
Hadi leo unatongoza mzeee??? umechelewa sanaa yani... demu yeyote muite geto aje kukusalimia Akikubalii bhasi kazi imeisha.. Akikataa endelea kumkomalia mpaka akubali yani imeishaa hiyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akigoma kabisa bhasi umemkosa utapoteza hela zako bure tu
 
Hahaa anakataa kuja geto,anataka tukutane at open areas
 
Hahaa anakataa kuja geto,anataka tukutane at open areas
Hujamkomalia wewe... Yani fanya uwezalo mwambie hataa kupitie geto muende Beach mamaee imeisha hiyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089] Nimekula wawili kwa gia ya kwenda beach...
 
Tofautisha kati ya kumpenda na kumtamani mtu.

Kiuhalisia ukimpenda mtu huwezi kukatisha mawasiliano kiasi cha kufuta namba yake kwa kigezo cha kukunyima UCHI wake.

Huyo anakupima uvumilivu wako vile anakuchukulia kama mtu mwenye malengo na yeye sio ile kumla na kusepa
 
Aisee ,thanks
 
geti kali yule,si unawajuwa watoto wa mikocheni
Hujamkomalia wewe... Yani fanya uwezalo mwambie hataa kupitie geto muende Beach mamaee imeisha hiyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089] Nimekula wawili kwa gia ya kwenda beach...
 
Ok,sasa kwanini aendelee kuni call wakati anajua,there is no friendship between female and male?
[emoji813] is funny thing. Sasa unataka amuache mtu wake wa maana kwa ajili yako?
Tafuta wa kwako, usipore mwanamke wa mtu, maana na wewe utaporwa
 
Salute sana mzee,one day night nilijaribu kumtumia romantic message wasap akanikimbia,hakutaka chart tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…