Nakwama wapi....?

Ahahahahahah..Nina vipimio vyangu na hivyo vinabak kuwa siri.

Wala hukusema cha ajab..just an open promise so it can be anything...

Kweli wewe ni mzee mwenzangu, hapana shaka. You have my words, am waiting for the alert. It'll be Granny's Promise Kept... wooow!!!

Ila ukibahatika kuonana na BAK kabla mwaka haujaisha utanifikishia salamu kuwa, hajaonekana kwenye dancing floor kitambo sana.
 
Humu ndani unaweza sema watu wanaongea kwa code. Hata sielewi chochote

Sent using Jamii Forums mobile app


Iiigghhhh mwangaluka ng'wanawaanee.... pole mwaya, ni mashokolo mageni duuhuu, hakuna jipya.

Mashika mashika mashilongoo ya dokta Shika hooyeeee.


Aahahahahaaaaa wanzuki tamu sana aiseeh.
 
Hyoo anapatikana mbona.Umemkosa kwenye uzi wao wa vijana una trend hiv sasa??heb kamtafute na kule ila chunga masihara..na mm nikimkuta huko ntampa salam mana hua napita pita ahahahahahah
 
Kwenye uzi wako nimemuona Jael tu 😂

Aahahahhaaa comment yako nimechelewa kuiona, huyo Ticha Jael nilishamfungulia uzi humu... Ni handsome, tabasamu lake sasa....
Huyu amenibadilisha na kunipa chachu ya kufanya vitu vingi kwenye maisha yangu ambavyo nilikuwa navighairisha kuvifanya kila nikitaka kuanza. Tumekuwa tukifanya mapishi kadhaa kila mtu akiwa kwake, aliahidi iko siku tutafanya mapishi pamoja, aidha jikoni kwake au kwangu...

Tatizo lake yuko bize sana lekchara yule yaani kumpata ni ishuu. Ila nnachompendea akiona simu au ujumbe wa Kasie anaupa kipaumbele hata kama atatoa ahadi ambayo hataitimiza ila atarespond tuu..

Ukimuona mkonyeze tafadhali ila usiseme habari zake hapa najua anapita humu na anasoma tuu hakomenti...

Halafu Hii ni sifa nyingine ya watu nnao mahabika nao, Wa humu JF huwezi waona wanakomenti kwenye nyuzi zangu, wanapita kimya kimya .... Hivi inakuwaje vinasaba vyao vya matendo vinafanana... Mmmhhh....


Many hugs to him (Ticha Jael)
 
Hyoo anapatikana mbona.Umemkosa kwenye uzi wao wa vijana una trend hiv sasa??heb kamtafute na kule ila chunga masihara..na mm nikimkuta huko ntampa salam mana hua napita pita ahahahahahah

Tsheeee mie huwa sichezi mbali na nyuzi za Mahaba, kama huo uzi wao hauna Mahaba na hivi umesema ni wa vijana si rahisi kuniona huko.

Wee mfikishie salamu tuu, ni mdau mzuri wa dancing floor, ingependeza kabla ya kufunga mwaka iwepo kolabo ya kulisakata rhumba uwanjani just to kill the night vibe...
You should be on the ground too, usiseme hujui kucheza kwa ubishi wa Kasie utajua tuu.
 
Kasie,
Ahahahahahaha..
Mzee mwenzangu mm siwezekeniki ujue.let the time be a judge mana sio mbaliii
 
Ahahahahahaha..
Mzee mwenzangu mm siwezekeniki ujue.let the time be a judge mana sio mbaliii

Cheers to that too, we have two promises so far.

I like that siwezekaniki..... 31st December please come early.
K' Matata.
 
Khantwe huyu huyu ambaye hasikii haambiwi juu yangu?


Aahahahahhaaa natumai tangu jana usiku ushapata frampeni za kukutosha kichwani na fagio kadhaa miguuni.

Poleee kwa msikivu japo kofi la mpenz haliumi. Ila liwe kimahaba sio lenye hasira ndani yake mweeeh (anti violence Matata).
 
Siku zote wanaume ma handsome hua wanakuwaga na wanawake wabovu na wanawake wazuri hua na wanaume wenye sura ya kazi..hio ni general rule na to every general rule there are exceptions....
Sababu kiakili hio habar ya uzuri na ubaya hawaipi uzito. Binafsi nilazima nivutiwe namtu kma Bibi apo haijalishi atakua anafananaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…