Basi we sio mjanja, ungeitoa uweke picha ikiwa bila hiyo broken protector, au ungenunua nyingine ya buku tatu uweke, hapo ata kilo mbili wangekuja, janjaruka comredy.Hahaha malizia kusoma nimesema huo muonekano ni protector.
Ebwana ni bonge la idea ila niliwaza kua atakayeitaka tukishahakikishiana pesa hiyo protector inatolewa ili aamini.Basi we sio mjanja, ungeitoa uweke picha ikiwa bila hiyo broken protector, au ungenunua nyingine ya buku tatu uweke, hapo ata kilo mbili wangekuja, janjaruka comredy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka number ya simuKuna Pinetech flat inch 32 hiyo imeibiwa Msasani.
Nakuuzia 120K