The Conspiracist
Member
- May 12, 2019
- 60
- 102
Nimekupata mkuu.Dogo una akili ya hajabu, unatafuta demu humu JF? Kama uko serious na mwanamke wa maana basi toka nje ya Tanzania, kwa hapa Bongo sidhani kama wapo tena.
Jibu zuri sanaNimekupata mkuu.
Ila sitafuti 'demu', namtafuta mke.
Kumbe ata singo maza uko tayari kumpokea tu, ila jua kupata mke ni mchakato sio tukio kama unavotakaJinsi: Me,
Umri: 28, sina mtoto, sijawahi kuoa.
Kazi: Mwalimu, Muandishi.
Makazi: Moshi (kwa muda),
Imani: Mkristo,
Sifa: Mweusi, Mrefu, ....
'Naamini Mke mwema anaweza kupatikana hapa pia '
Natafuta Mwanamke mwenye Umri wa kati ya miaka 18 hadi 30. Lengo ni ili awe Mke wangu:
Mwanamke ninayemhitaji:
Awe na akili ya kuwa mke na mama wa watoto.
Awe na Heshima.
Awe Mkristo au Mwenye utayari wa kuwa Mkristo.
Sijali kuhusu usomi au kutokusoma.
Ikiwa ana mtoto isiwe zaidi ya 1.
Uzuri/Urembo ni sifa ya ziada.
Kwa aliye na sifa tajwa karibu PM tuzungumze.
Nina maanisha nilichoandika.
The Conspiracist'.
Umeonesha ukomavu wa akili. Nakutakia kila la heriNimekupata mkuu.
Ila sitafuti 'demu', namtafuta mke.
Amen.Jibu zuri sana
Kila la heri mkuu,upate mke mwema
Nitazingatia hilo Mkuu.Kumbe ata singo maza uko tayari kumpokea tu, ila jua kupata mke ni mchakato sio tukio kama unavotaka
Amen.Umeonesha ukomavu wa akili. Nakutakia kila la heri
Sawa Mkuu.Mimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.
Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.
Ndiyo inaanzaga hivi hivi, unaanzia na demu mwishowe anakuwa mkeo ila hapa JF hutopata mke wa kweli au hata Tanzania hii na ndiyo maana nilikuambia utoke nje ya Tanzania au unaogopa?Nimekupata mkuu.
Ila sitafuti 'demu', namtafuta mke.
Amesema anatafuta mke sio Dem MkuuDogo una akili ya hajabu, unatafuta demu humu JF? Kama uko serious na mwanamke wa maana basi toka nje ya Tanzania, kwa hapa Bongo sidhani kama wapo tena.
Sawa Mkuu,Ndiyo inaanzaga hivi hivi, unaanzia na demu mwishowe anakuwa mkeo ila hapa JF hutopata mke wa kweli au hata Tanzania hii na ndiyo maana nilikuambia utoke nje ya Tanzania au unaogopa?
Nisaidie walau.
Mkuu umewaza nini lknπππ , tunampenda mtu siyo kazi yake πMimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.
Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.
Mnakosaje akati humuhumu kuna wanawake wanatafuta waume.taftaneni bhnMimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.
Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.
Achana nae asikukatishe tamaa, wanawake wema popote pale wapo, mimi nimepata mke humu, narudia tena NIMEPATA MKE HUMU, sio masihara wala kufurahisha baraza, mimi mke wangu NIMEMPATIA HUMU.Nimekupata mkuu.
Ila sitafuti 'demu', namtafuta mke.
Master,endelea kutulia hapo moshi mke yuko apo,zurura tuu fresh utakutana na hitaji la moyo wako.Sawa Mkuu.
Lolote linaweza kutokea, ni mapema sana kufanya hitimisho.