Hela yako baki nayo tu.Wenye kiu ya mabadiliko tunachangia kimya kimya.Heshima sana wanajamvi,
Nimefuatilia maendeleo ya uongozi mpya wa CHADEMA bado sijaona ubunifu au utofauti wao baina ya uongozi wa zamani na uongozi mpya.
Nimeamua nitachangia lakini kwa sharti moja kubwa iwapo nitaweza kupata uthibitisho Mwenyekiti Lissu amechangia kiasi gani.
Wakati wa kampeni za uchaguzi uliomalizika zilikuwepo tuhuma nzito kwamba Lissu hana msukumo wa kuchangia chama.Katika uchaguzi huo Lissu aliwekewa kiwango cha kuchangia chama kiasi cha Tsh 30 Million hakutoa ndururu.
Wakati akiwa Mbunge ulikuwepo utaratibu wa wabunge kuchangia chama Lissu hakuwa akitoa hata cent tano.
Lissu sasa ni Mwenyekiti wa chama ni vyema na haki ikiwa ataonyesha mfano mzuri wa kuchangia chama si kuwataka watu wengine wachangie wakati yeye binafsi hataki kuchangia.
Ngongo kwasasa Mikocheni.
Utaki kuwanunulia watu maandazi?Mimi sio chadema na sichangii hata wewe na Lissu mkichangia.
Huyo tapeli alidai hakuna kifungu chochote kwenye katiba ya Chadema, kinachosema makamu mwenyekiti achangie milio30.Heshima sana wanajamvi,
Nimefuatilia maendeleo ya uongozi mpya wa CHADEMA bado sijaona ubunifu au utofauti wao baina ya uongozi wa zamani na uongozi mpya.
Nimeamua nitachangia lakini kwa sharti moja kubwa iwapo nitaweza kupata uthibitisho Mwenyekiti Lissu amechangia kiasi gani.
Wakati wa kampeni za uchaguzi uliomalizika zilikuwepo tuhuma nzito kwamba Lissu hana msukumo wa kuchangia chama.Katika uchaguzi huo Lissu aliwekewa kiwango cha kuchangia chama kiasi cha Tsh 30 Million hakutoa ndururu.
Wakati akiwa Mbunge ulikuwepo utaratibu wa wabunge kuchangia chama Lissu hakuwa akitoa hata cent tano.
Lissu sasa ni Mwenyekiti wa chama ni vyema na haki ikiwa ataonyesha mfano mzuri wa kuchangia chama si kuwataka watu wengine wachangie wakati yeye binafsi hataki kuchangia.
Ngongo kwasasa Mikocheni.
Wewe endelea kulalamika. Ukombizi utachukua miaka mingi sana.Mimi sijaona umubimu wa wao kuchangiwa naonaga kama utapeli kama utapeli mwingine mwisho wa siku wanagawana
Kipindi cha nyuma watu walichangia sana ile kesi ya bandari watu walichangia mno kila siku ila waliishia kugawana wenyewe
Et oh mwanasheria gari haina mafuta wakachanga watu
Et lissu apate gari nyingine wakachanga watu
Ikaja chama kimnunulie mbowe gari la kustaafu sijui waliishia wapi
Nilitegemea pale wanapoona dosari kwa serikali kama vile mifumi ya maji au shule na serikali wanaona wangepitisha michango hiyo na wao wakawa mstari wa mbele kuboresha shule inge kaa poa
Kamwe sifanyi ujinga uho yaani nimpe tajiri pesa mimi sio bwegeWewe endelea kulalamika. Ukombizi utachukua miaka mingi sana.
Bora upoteze elfu moja yako kwa mwezi kuliko viongozi wakose pesa za kufanyia kazi kisa wewe unaogopa kuibiwa elfu moja.
Lissu ni mwaminifu, changia pesa
Huyo ni UWT hana kitu ni tapeli tuWewe endelea kulalamika. Ukombizi utachukua miaka mingi sana.
Bora upoteze elfu moja yako kwa mwezi kuliko viongozi wakose pesa za kufanyia kazi kisa wewe unaogopa kuibiwa elfu moja.
Lissu ni mwaminifu, changia pesa
🚮🚮🚮Heshima sana wanajamvi,
Nimefuatilia maendeleo ya uongozi mpya wa CHADEMA bado sijaona ubunifu au utofauti wao baina ya uongozi wa zamani na uongozi mpya.
Nimeamua nitachangia lakini kwa sharti moja kubwa iwapo nitaweza kupata uthibitisho Mwenyekiti Lissu amechangia kiasi gani.
Wakati wa kampeni za uchaguzi uliomalizika zilikuwepo tuhuma nzito kwamba Lissu hana msukumo wa kuchangia chama.Katika uchaguzi huo Lissu aliwekewa kiwango cha kuchangia chama kiasi cha Tsh 30 Million hakutoa ndururu.
Wakati akiwa Mbunge ulikuwepo utaratibu wa wabunge kuchangia chama Lissu hakuwa akitoa hata cent tano.
Lissu sasa ni Mwenyekiti wa chama ni vyema na haki ikiwa ataonyesha mfano mzuri wa kuchangia chama si kuwataka watu wengine wachangie wakati yeye binafsi hataki kuchangia.
Ngongo kwasasa Mikocheni.
Hili ni neno....habari yake imekaa kinafki sana ...afu inaonesha hayupo kundiniHela yako baki nayo tu.Wenye kiu ya mabadiliko tunachangia kimya kimya.
Hapana, anayo hoja.Hela yako baki nayo tu.Wenye kiu ya mabadiliko tunachangia kimya kimya.