Nakusisitiza na nina kusisitiza

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,309
Reaction score
21,674
Zingatia haya maneno sana

Ukumbusho wa kila mwezi:

Jiepushe na mke wa mtu mwingine,

— hata kama ni mzuri kama pundamilia
— hata kama ana matatizo ya ndoa
— hata kama anaonekana anavutia/kuchochea
— hata kama mume wake anaonekana dhaifu.

Jiepushe kabisa.

Utauliwa, na tutakutumia kama mfano.

#ManDay
 
Hakika mkuu, Mimi mbunye ya mke wa mtu na mwanafunzi,, sitozigusa mpaka kuzikwa kwangu,, ni hatari kama ukoma,. Ukifumwa tu huna lako.
 
Hivi maisha bila ngono mapenzi ,mahusiano hayawezekani?
Makatazo kuhusu mambo ya ngono ni mengi mno.
Nje ya ubinafsi na umimi wa binadamu hamna cha mume.
Unataka open relationship? Kwamba hata mkeo/mumeo akigongwa poa tu?
 
Yana run kwa wajinga na walimbukeni

Wewe tokea umeanza na mapenzi mpaka sasa kuna kitu cha maana ulicho wahi kupata kwenye mapenzi unaweza kukionyesha?

Nje ya uzazi mapenzi ni upumbavu fulani hivi unaendekezwa
Yamenirarua tu na kunipa stress za maisha😂
 
Ila mimi nawatafuna sana. Kuna mmoja hapa jirani mbangladesh anavaaga ninja nimeshagonga mara mbili laundry room. Mgusisha ukuta.
Tafuna bila huruma .
 
Tamaa mbele, mauti nyuma..

Jamaa wanaona kama wahenga walikuwa wanachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…